• info@xerinlogistics.com
  • Uhuru Heights, M Floor, office number M15

Get In Touch

0656 111 869

Awesome Image

Archive for February 27th, 2024

XERIN LOGISTICS YAHAMASISHA WANAWAKE KIUCHUMI

Kongamano la Ladies in Islam limethibitisha umuhimu wake katika kuwezesha wanawake wa Kiislamu katika nyanja mbalimbali za kibiashara, kifedha, uongozi, na ujasiriamali. Xerin Logistics Limited, ilikuwa miongoni mwa wadhamini walioshiriki katika kongamano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, posta jijini Dar es Salaam.Kwa kuhudhuria kongamano hili, Xerin Logistics ilipata fursa adhimu ya kujitangaza na […]

XERIN LOGISTICS IMESHIRIKI KATIKA EAST AFRICA CARGO CONNECT SUMMIT 2024

Xerin Logistics, ilikuwa miongoni mwa washiriki waliohudhuria kongamano la EAST AFRICA CARGO CONNECT SUMMIT 2024. Kongamano hili lililofanyika Mlimani City Mall lilikuwa jukwaa muhimu kwa wadau wa sekta ya usafirishaji wa mizigo kutoka maeneo mbalimbali kujadili masuala yanayohusiana na biashara ya usafirishaji wa mizigo katika ukanda wa Afrika Mashariki. Mwakilishi mkuu wa Xerin Logistics katika […]

Recent News